JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI



Kwa nini sabuni, lotion, shampoo, gel soap nk hizi ni products ambazo Kwa namna moja ama nyingine zinatikana na mazao au matunda tunayolima, nimeonelea nitoe somo kidogo ili Kwa umoja wetu tujue kama tukilima basi moja Kwa moja tujue na kuprocess bidhaa zitokanazo na mazao tuliyolima: Leo nitazungumzia utengenezaji wa sabuni ya mche kwa kutumia mzao tunayotaka kwenda kuyalima au tumeshalima mfano, carambola, mchaichai na mapapai,
Kwenye mchaichai tutumie mafuta yake, ila carambola na papai au Olvera juice yake,






Mahitaji.                                            
Caustic soda. vijiko saba vya chakula  Soda ash. kijiko viwili vya chakula  Mafuta ya mchaichai.  Lita 50ml  carambola matunda matatu yanatosha   papai moja.  Maji lita mbili. Chumvi ya kawaida nusu pakti. bakuli kubwa la plastik.  Kitu cha kukorogea.
Soda ash kazi yake inaongeza povu na kupunguza makali ya caustic ili sabuni isiwashe
Nimesahau mold ya kuwekea unaweza kuchonga mold ya mbao kama box la fut 2 X2 up Inch 4
Naironi ya ndani ya box coz uji wetu usikamatane na mchanganyiko wetu.

Jinsi ya kutengeneza.                         
1. Maji lita mbili
2.Caustic soda vijiko saba vya chakula
3.soda ash.vijiko vitatu vya chakula Kwa pamoja unaweka kwenye maji ya lita mbili unakoroga mpaka uone kama umechanganya vizuri kisha unaacha mchanganyiko wako ulale, kesho yake unaendelea kukoroga nusu saa asubuh na jioni Kwa Muda wa siku saba

 Baada ya siku ya saba, unachukua mchanganyiko wako unaweka pembeni
Unachukua tunda lako, leo tunatumia calambora ya dada yetu Lilian, tunachukua papai tunamenya then tunasaga Na brenda juice yetu



Hapa tutakuwa na matunda mawili pamoja na alovera uji wa ndani tunasaga kwa pamoja. Juice yetu ikikamilika tunachukua mafuta ya mchaichai ml50 kichupa kidogo, nusu lita ya mafuta ya nazi na nusu lita ya mafuta ya mawese

Kisha unachukua mchanganyiko wako wa caustic na soda ash unachanganya  na mafuta yote unakoroga mwisho unachukua juice yako fresh ya mchanganyiko wa calambora papai na alovera unachanganya,

Hapo uji wako utakuwa teyali kwa kuweka kwenye mold ya mbao au machine yenye mold ya chuma mfano

Utaacha uji wako upoe kwa masaa 24 ili igande Kisha utafyatua mche wako na kuwa teyali sabuni

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment