KILIMO CHA MAMTIKITI MAJI



kilimo cha matikiti maji

 



Matikiti maji ni zao linalolimwa kwa wingi siku hizi,na ni zao ambalo ukiwa serious linakutoa kimaisha.

kwanza unaanda shamba lako kwa kulilima na kuondoa magugu ambayo yanaweza kuota maana yanaweza yakasababisha kuambukiza mmea ugonjwa km fangas nk,hivyo baada ya kulima inabid uyaondoe kabisa ili yasije kuota

baada ya hapo unachimba mashimo yasiwe makubwa sana,upanda wa km rula moja then urefu uwe km nusu rula au rula moja,then unaweka mbolea ya kuku au ya ng,ombe saiz ya mikono yako miwili,( ikiwa ya ngombe isiwe mbolea mpya)
then unanyeshea shimo lako lenye mbolea kwa mda wa siku tano km unatumia mbolea ya kuku na siku  tatu km unatumia mbolea ya ngombe ili kufanya udongo na mbolea vichanganyike vizuri,pia mbolea ipoe coz ukitumia hivyo hivyo bila kupoa inaweza kuunguza mbegu.

baada ya hapo unaotesha mbegu tatu kwenye kila shimo,otesha moja kwa moja usioteshe kwenye kitalu coz ukihamisha itaweza kufa haziwez kuhimili,baada ya siku tano mbegu zitaota,

yakishaota unahesabu siku kumi unaweka urea unaichanganya na npk,unaweka kias cha kijiko kimoja kikubwa kwenye kila mche,pia unaweza kurudia kila baada ya siku tano had pale miche itakapotoa maua unaacha,kwa heka moja mfuko mmoja wa npk na mmoja wa urea unatosha kurudia Mara zote...



usisahau kunyeshea shamba lako,na pia usinyeshee jioni sana coz mmea ukibaki na unyevu mda mrefu unaweza kupata magonjwa,shamba lako limwagiliwe Mara kwa Mara especially wakati mbegu inaota na siku kumi kabla haujavuna,japo maji yanahitajika sana kumwagilia hasa kipindi cha ukosekana mvua au kipindi cha mvua chache.

pia usinyeshee direct kwenye mmea coz unaeza kufanya uchavushaji ukawa shida
kipindi hiki cha Mwaka epuka kuweka dawa zinazoua wadudu,kwa sababu zinaweza kuua had wadudu wanaochavusha then utakua unaweka dawa kulingana na tatizo litakalojitokeza,as matikit yanashambuliwa sana na wadudu ‪pia ni vizuri ukiona ugonjwa huuelewi unakata jani unaenda nalo duka la dawa kuulizia matikiti yanachukua siku 60 had 90 kukomaa,hapa inategemea na aina ya mbegu,pia tujitahid jlkuotesha mbegu ambazo ni hybrid,epuka kuotesha ambayo umevuna ukahifadhi mbegu hutavuna vizuri.



yakikomaa,upande wa chini utaanza kuwa km njano,kikonyo hukauka na kuwa kijivu
mavuno hutegemea aina ya mbegu na matunzo ya shamba lako
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment